Mmmh! Hii sasa ni kubwa kuliko! William Mtitu amfungukia haya Flora Mbasha kuhusu mumewe

qw hyguy

Lile sataka la kubaka linalomkabili mume wa mwanamuziki maafuru wa nyimbo za dini – Flora Mbasha limechukua sura mpya baada ya hapo jana mwigizaji na mwongozaji maarufu wa filamu nchini William Mtitu (Pichani) kuamua kufunguka haya juu ya mwanamziki huyu.

Hatutaki kukupotezea muda, jisomee mwenyewe hapo chini kasha “utafakari”.

 

Huku akiwa ameweka picha hiyo hapo juu ya Flora Mbasha na mumewe Mtitu alinzanza kwa kuandika…

 

“Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya frola mbasha kuna kitu nakiona kinejificha lakini sasa hivi kimeshajitokeza tayali…..hicho kitu ndicho kilichompeleka jera mbasha na asipokuwa makini anaweza asiwe uraiani tena kama ulivyowatokea familia ya nguza .namaanisha mzee nguza na papii kocha wako wapi? Kiukweli frola una roho mbaya ya mwisho kabisa ilichanganyika na ukatili wa mwisho kabisa kiasi kwamba nashindwa kuelewa umeokoka nn ww ? Eti umemrudia YESU ?YESU yupi huyu nnaemwabudu mm au una YESU wako ww na HUYO GWAJIMA wako? Leo umemsahau Mbasha ww ? Wakati alikuokata umechakaa wakati mbasha dereva teksi leo wataka kumfunga ili iwe nn sasa mbasha akifungwa utapata faida gani ww? Huyo mtoto akija kukuuliza baba yuko wapi utamwambiaje? Fine unaweza kujikaza ukamwambia yuko jela je akikuuliza nani alimshitaki utajibu nn ? Pia waweza kujikaza ukawataja hao wasichana mliowapandikiza je akiuliza ww ulifanya jitihada gani baba asifungwe utasemaje? Hapo auna jibu Acha roho mbaya NENDA KAMTOE MARA MOJA NA MWENDE NYUMBANI MKAONGEE KAMA FAMILIA TWAJUA UWEZO HUO UNAO ILI NA YEYE ATAFUTE HAMSINI ZAKE KAMA WW ULIVYOAMUA KUJISALIMISHA KWA GWAJIMA. USIJE UKASHANGAA WATU WAKASUSIA KAZI ZAKO ZOTE. GDAY.”