Mmmh! Ni noma! Wema apost Video ya Diamond akiwa kitandani kifua wazi. Hatari sana

 

vlcsnap-2014-01-10-17h11m55s101

Leo mwanadada wema sepetu amezidi kuudhihirishia ulimwengu wa fans wake kuwa kijana raisi wa wasafi aka Diamond Platnumz ndio mahabuba wake baada ya kupost video ya mwanamuziki huyo akiwa kitandani kifua wazi kabisaaa huku akiandika In da middle of his writing session…jus had to distrub him a little”. Mmmh hatari sana!

 

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies.

habari kwa msaada wa bongo movies.com