MOBETO KUMBURUZA MZAZI MWENZIYE DIAMOND MAHAKAMANI!

Mwanamitindo maarufu WA INSTAGRAM, Hamisa Mobeto, amemshitaki mzazi mwenziye ambaye ni Mbongo Fleva katika Mahakama ya Watoto, Kisutu jijini Dar, akidai kuombwa radhi na matunzo ya mtoto.

Wito huo kwa Mbongo Fleva, umewasilishwa na mawakili wa Mobeto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys.