Wengi mnamjua kama Dida kailo Mkenya anaeishi Ujerumani Kupitia filamu kadhaa alizoigiza Ujrumani lakini Mwanamuziki huyu si hodari tu tu wa kuigiza bali kuimba na hata kupiga Vyombo mbalimbali vya Muziki kitendo kilichowavutia si tu mashabiki zake waafrika bali kuwachanganya pia wazungu Nchini Ujerumani anakoishi na kuwafanya
kumtafuta ili waweze kujua mengi kuhusu sanaa yake na maisha yake kwa ujumla bonyeya link hapo juu na chini kuangalia interview yake aliofanyiwa na wajerumani lakini kusikiliza NGOMA YAKE MPYA YA PAIN Usisahau kusubscribe kwenye YOUTUBE CHANELI YAKE ILA waweza kumpata zaidi instagram kwa jina la DIDAKAILO