Msanii anayefanya vizuri Tanzania katika nyanda ya filamu na Tamthilia ya SIRI YA MTUNGI DAUDI MICHAEL DUMA amefiwa na mama yake mzazi MARIA DAUDI na kwa habari tulizopata msiba utafanyika nyumbani kwao MABIBO MAKUTANO OASIS BAR R.I.P MAMA YETU MARIA DAUDI.
kwa habari iliyotufikia kwa sasa Duma yuko katika hali ya majonzi makuu kumpoteza mama yake mzazi, Swahili movies.com inampa pole na kumuombea uvumilivu katika kipindi hiki kigumu anachokipitia yeye na familia yake
Hizi ndio habari tulizonazo kwa sasa ila kwa habari zaidi tutawaletea tutakapojua nini kinaendelea , kwa watu watakaotaka kujumuika kumpa pole piga namba ya simu hapo chini utafika mahali msiba ulipo +255717 957 507
kava ya tamthilia ya siri ya Mtungi aliyocheza DUMA
SWAHILI MOVIES INAMTAKIA POLE KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU YEYE NA FAMILIA YAKE