MTANGAZAJI TIBA DINAS AJA NA TV SHOW YAKE MPYA ANGALIA HAPA BAADHI YA VIPINDI HIVYO

Mwanadada machachali Tiba Dinas baada ya kimya cha mda mrefu katika kazi zake za utangazaji sasa amekuja kwa kasi na show yake mpya inayoitwa TIBA SHOW

Mtangazaji TIBA DINAS kwenye pozi mbalimbali

11817025_810240625763056_5978354569723798399_n

Ambayo anatumia kuwahoji wasanii wa fani mbalimbali , mwanadada huyo mrembo  mwenye makazi yake Denmark amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani sasa ni muda wa kazi na tayari ameachia  vipindi kadhaa vya mahojiano na baadhi ya wasanii wa  FILAMU wa VAD FILM  PRODUCTION kuweza kuona angalia show hizo hapo chini 11180320_792401277546991_7346289234462848140_n

11412255_781185885335197_111214131969350070_n

bonyeza hapo chini kuangalia show hizi

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!