Muda umefika wakutujua by Swahili Talk Radio Denmark

 

1888627_10203256113943351_127282605_nMtangazaji na muasisi wa swahili talk radio Denmark

 Swhili Talk Radio.(Media House)
Baada ya miaka Zaidi ya miwili Radio hii imetoa mchango wake mkubwa kwa jamii za kiafrica   ulaya . Moja ya kazi ya Radio hii ambayo ni muhimu sana, ilikua kutumikia jamii kwanza. Tulijitahidi kuweza kuwapaisha waafrica wenye uwezo wa kudumisha sanaa ya kiafrica hapa ulaya, Tuliburudisha jamii na burudani ya miziki ya kiafrica. Hakuna Kulala ilikua hits ya Radio yetu ni kipindi ambacho kinakuja kila ijumaa usiku saa 22:00 saa za ulaya, kikiongozwa na DJ/ host Yve Ismail na Rehema Nkalami

Radio ilifikilia jamii kwanza na bila kujiweka sisi mbele kwanza. Lakini Watuwengi wamefikiri mimi ni mcongo, na walitaka kunijua mimi na kujua zaidi undani wa swahili Talk Radio (Media House).
Sasa nimeamua kujifahamisha mimi mwenyewe ilikilakitu kiwe wazi. Wiki ijayo Mtasikiliza Introduction ya Yve Ismail.

Baada ya hapo Swahili Talk Radio itawaonyesha majadiliano yetu yatakayo kua kwenye Studio ijumaa hii kuhusu ” Pesa za watoto zinaleta Zarau ndani ya nyumba za kiafrika na kusababisha Taraka” Jitayarishe kusikia majonzi ya Papa huyu Ambae anadai kuwa wanaume Wa Kiafrika wanashuswa dhamani kwa sababu ya pesa hizo. Kazi kwenu wakina mama kama mna la kujitetea mnakaribishwa.
By Rehema Frederiksen Nkalami.

BONYEZA HAPA KUANGALIA INTERVIEW KAMILI

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more