Mchezaji wa filamu kutoka VAD Film Production ya Denmark apewa sumu katika mazingira ya kutatanisha ,akiongea kwa uzuni president wa kikundi hicho aliandika haya
VAD Denmark inayo uzuni kusikia mchezaji wao kupewa SUMU. Tunaomba kwa mtu yeyote anaye fahamu DAWA kumaliza SUMU KAROHO atuandikie kupitia FACEBOOK ya VAD ao EMAIL: vad.production@hotmail.dk, Selembe tangu Juzi hadi sasa yukona hali mbaya sana anaitaji maombi ya wote na msaada kwa yeyote anaefahamu dawa ya Sumu hiyo. Selembe melalazwa kwenye Hospital kubwa apa Denmark ila madaktari wame mpima nakuona ana SUMU KALI.
kwa kweli hali yake sio nzuri. VAD inaitaji msahada wako, wanataka Wa mfanyie operation ila madaktari wazungu wanaogopa hawajawai kuona hali ya sumu kama iyo.

WASANII ; MASHABIKI WAONGEA
Wakati huo huo baadhi ya wasanii wenzake na Mashabiki zake wameonekena kuchanganyikiwa na kuhuzunika ,baada ya kusikia habari hizi za kushitua kuwa muigizaji huyo mkongwe amepewa Sumu na walishindwa kuficha huzuni zao na kuandika jumbe mbalimbali katika kurasa zao za kijamii

Twaleb Entertainment – Film Production imeshtushwa sana na habari hizi na inapenda kuungana na V.A.D na watu wote katika MAOMBI kumuombea kupona kwa haraka kwa Msanii wa V.A.D… SELEMBE TOKO…
EEH MUNGU ULIYETUUMBA…WEWE NI MUWEZA WA KILA KITU….MSIMAMIE KIUMBE WAKO NA UMPONESHE KWA HARAKA…..AMEEN.
Mpaka sasa bado Muigizaji huyo yuko hospitalini akiendelea na jitihada za kupata matibabu , swahili Movies imepokea habari hizi kwa maskitiko na kumuombea apone haraka ,

SOURCE : Here
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
Tupe maoni yako hapo Chini..!!