Adha hii imempata mwanamke huyu baada ya kuanza kuona ngozi yake imeanza kuwa laini kasi kwamba alianza kumomonyoka taratibu mwisho wa siku alijikuta ameoza wanawake wengi huwa wanajikuta wanaingia katika taabu hizi kwa kufuata mkumbo.
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies