Mwanamziki wa Denmark Atoa wito kusaidia Watoto Yatima Tanzania

Mwanamziki     Mtanzania  anayeishi    Denmark    Geofrey   McLaughlin    Ametoa wito kuomba  watanzania   na    waafrika   wote   wanaoishi   nje   ya  nchi  zao  wajitaidi  kwa   hali   na mali kusaidia    watoto  wenye  hali  ngumu   kimaisha   ,

1601334_10202195766029320_305177759_n

 

yaani  watoto  yatima  na  watoto  wa Mitaani ,  Geofrey  ameongea  hayo  baada  ya  kutua nchini  Tanzania  wiki  iliyopita  na   kubahatika  kuona  idadi  ya  watoto  wa  mitaani   na yatima  imeongezeka  na  wako  wanadhulula  kila  sehemu  hali  imemsikitisha  ukizingatia watoto   hao   wako  kwenye  mazingira    magumu   sana  .na  kusema  kuandika h aya katika  mtandao   mmoja wa  kijamii  ikiwa  ameweka  na  hizo   picha

 

10474438_673971759358609_6888285128324867636_n

Ninaomba   Mungu   anisaidie  na  kunifanikisha  kazi  zangu ,  singida  ni  Mji  wangu  Tanzania  ni  nchi  yangu  , Africa  ni  bala langu  na hawa  ni  watoto  wetu  sote   tuwapende na  tuwakumbuke  kwa  chochote  ili Mungu  aendelee  kutubaliki .

10474438_673971759358609_6888285128324867636_n

 Msanii Geofrey McLaughlin akiwa na baadhi ya watoto hao

Hakika   Hiki  ni  kitengo cha  Ubinaadamu  , kukumbushana  kusaidia  wenye uhitaji .Swahili  movies  inampongeza  msanii  huyu  alietambulishwa  na kibao  cha The black Nilivyokupenda   Remix na  kumtakia  Holyday  Njema  Africa .

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!