kwa jina anaitwa SLIMM PIZZLE ni mnaijeria na anaishi MUNICH GERMANY kwa wale wakazi wa Munich hakika watakua si wageni wa jina hili la Slimm au promise jina lake halisi ni PROMISE
Ni mwanamziki chipukizi anayefanya vizuri si tu kwa nyimbo zake bali hata anapokuwa stejini . pia ni mpenzi sana wa nyimbo za East Afrika , na tulipoojiana nae alisema alijisikia furaha sana kupata nafasi ya kuperform kwa kufungua show ya JAGUAR kwani anamkubali sana Jaguar kwa nyimbo zake matata kwenye steji moja pia alisema anamkubali sana Diamond na kupitia MY number one kolabo la Diamond na Davido wa Nigeria ameweza kufatilia mziki wa East Afrika nakujua Mengi sana kuhusu Muziki huo wa East Afrika angalia picha zake na chini bonyeza kuona performance yake ndani ya Munich
https://www.youtube.com/watch?v=60Gzpc9X7oY&feature=youtu.be
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT : here