Mfahamu msanii chipukizi kutoka voice of Africa in Denmark , V.A.D film production Sanura Jafari Mtanzania anayeishi Denmark Copenhagen , msanii anayefanya vizuri kwenye movie ya Nimuamini Nani ambayo tayari trailer yake imeshatoka bonyeza link kuangalia kazi yake pia anapatikana kwenye film ya young bilionea aliyocheza na Marehemu steven Kanumba na mastar wengine wa Tanzania , kujua mengi kuhusu yeye ungana nami.
http://www.youtube.com/watch?v=yeSeZBfEOq0
sikiliza mengi kupitia Interview aliyofanya na Umoja Radio NGG Holland part one and part two
Actress sanura jafari na Marehemu Kanumba
Director Jay , Devotha actress, sanura jafari na president wa VAD safari lukeka