NGG na Alex Media production waja na filamu mpya ya MY BROTHER

 

11113236_976239055750789_2813720145341680034_o
Alex Bikorimana mkurugenzi wa NGG NA Alex Media

Tukiongea na Mkurugenzi wa NGG FILM PRODUCTION  na ALEX MEDIA   PRODUCTION  zilipo  nchini Holland  amesema kuwa kwanza wanawashukuru mashabiki wao wengi kwa kuipenda na kuikubali filamu yao ya kwanza ya WHY FACEBOOK pamoja na kuinunua kopi za filamu hiyo sasa amewataka  mashabiki wao wakae mkao wa kula kwani kimya chao kingi walikuwa jikoni wakipika filamu mpya  inayoitwa MY BROTHER

 Kwa Ufupi ni  Filamu  inayohusu  maisha ya dada na kaka waliokuwa wakiishi pamoja bila wazazi wao, na kufikia kipindi Kijana  huyo anatoswa na kukumbana na matatizo makubwa katika kutetea penzi lake na msaada unakuwa ni dada yake tu  basi kwa haya na mengine mengiiiii kujua fatilia kujua kuhusu Filamu hii ya MY BROTHER    .Alimalizia kuelezea Mkurugenzi huyo na muigizaji pia na kuwataka mashabiki wakao tayari trela ya filamu hiyo  inakuja karibuni

11232292_974305422610819_8374154752575557602_o
HIZI NDIO PICHA ZA BEHIND THE SCENE ANGALIA HAPA

11885090_974752285899466_3196909228239077937_n

11856467_974305379277490_556548058614821824_o11825734_974305839277444_488600757651910299_n 11866423_974305799277448_7086889233177064924_n

11834941_974305365944158_1414361291019697736_o  11836831_974305645944130_8146555874886040220_n 11846625_974305552610806_3453496876744442301_n 11855663_974305522610809_9012449158120911808_n 11855664_974305892610772_5642418840196724609_n 11855789_974305689277459_5978621426945298481_n

SOURCE  :here

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!