Ngoma ya Mudy Kibirity kuonyeshwa Leo CHANNEL 5 East africa tv saa mbili usiku pia waweza icheki hapa

Haaya wale wapenzi wa Music leo tunawaletea ngoma kali kutoka kwa mwanamuziki Mudy Kibiriti inayokwenda kwa jina la PESA KWANZA MAPENZI BAADAE ;  Ambayo kwa mara ya kwanza itaonyeshwa leo saa mbili usiku katika television ya EAST Africa pia waweza kucheki hapa chini kwa youtube , bila kusahau waweza  kusuport kwa kulike nyimbo hiyo coment au kushare enjoy. Pia waweza mfolow facebook na insta kwa  jina la Mudykibirity

12273158_898497563597333_434291028_n

12286156_898497480264008_183761540_n(1)

https://www.youtube.com/watch?v=dlASPaApwNc&feature=youtube_gdata_player

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!