NIVA ATOKA NDUKI HOTELINI NA NGUO YA NDANI TU KISA UGOMVI NA DEMU ANAYEDAIWA KUWA MPENZI WAKE.

374600_365093896929333_540160988_n

Mwigizaji wa filamu Swahiliwood Zuberi Mohamed‘Niva’ juzi kati alijikuta akipata fedheha baada ya kupigana na mtu anayesemekana kuwa ni mpenzi wake, sakata hilo la aibu lilitokea katika Hotel ya Ndeka iliyopo maeneo ya Magomeni mida ya saa tano usiku.

shuhuda wa tukio hilo akizungumza na filamucentral alisema kuwa Niva alikuwa kapanga katika Hoteli hiyo na baadaye alikuja na binti huyo na kuagiza chakula na kupelekewa chumbani huko ambako ugomvi ulitokea na kusababisha vurugu zilizomfanya Niva kutoka nduki.

Kufuatia ugomvi huo uliotokea ghorofa ya tano chumba namba 5, msanii huyo alitoka nduki akiwa na nguo ya ndani tu na kukimbia hadi chini na kutoweka jambo lililofanya wahudumu kuingia katika chumba hicho na kushuhudia uharibifu uliofanywa na wapenzi hao, huku kuta za chumba hicho zikiwa zimetapakaa uchafu wa vyakula.
Msanii huyo katika tukio hilo alipoteza vito vya thamani kama vile saa, mkufu, simu na vitu vinginevyo, Hata hivyo Niva alipotafutwa na mtandao huo ili kutolea ufafanuzi issue hilo la aibu hakuweza kupatikana kupitia simu yake ya mkononi.

baadhi ya kazi za niva zinazofanya vizuri sokoni kwa sasa

1379711_428395390599183_888310267_n944518_392918597480196_190745680_n

 

914023_369727733132616_2103151998_o

1922517_484144778357577_1316855128_n

1240150_412357335536322_167693743_nNiva Zuberi , Rose Ndauka , na Rado

CREDIT-  swahiliworld planet

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more