Oficial cover Nimwamini Nani is out ,Stars Mr Nice , Seny Chada, Tatu DANIEL and Selembe Toko

Wakali wa filamu za kiswahili V.A.D  Film Production ya nchini Denmark wanakuleta filamu kali ya NIMWAMINI  NANI itakayoingia sokoni mapema mwezi wa saba na kuwataka mashabiki

wake wakae  mkao wa kula kwani mambo yameiva ,mastar walioshiriki kwenye filamu hiyo ni pamoja na MR Nice au mzee wa TAKEU STLYE; Selembe Toko , Seny Chada , TATU daniel na wengine wengi stay tune

Oficial cover ya NIMWAMINI NANI

10418808_876133959069885_219879750_o

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!