G.a.mc wanyatu aachia ngoma mpya aliomshirikisha amber lulu ni motoooo/ akutana na baba diamond

Mwanamuziki na Muigizaji kutoka Denmark Geofrey au GAMC Baada ya kutamba na nyimbo yake ya HADHI YAKO Sasa ameachia club banger ngoma mpya ya AFRICAN GIRL Aliomshirikisha mdada machachari AMBER LULU Bonyeza link hapa chini kusikiliza nyimbo hio bila kusahau kusubscribe kwenye chaneli yake ,

Msanii huyo licha ya kufanya interview mbalimbali na tv station nyingi Tanzania alitangaza pia nia yake ya kumuoa mrembo Official NAI na akaenda mbele zaidi na kusema yuko tayari kabisa kumtorea mahali , bonyeza hapa chini kusikiliza zaidi kuhusu penzi lake hilo na NAI

Lakini hakuishia hapo Msanii huyo machachari GAMC licha ya kuwa ni rafiki wa karibĂș na Diamondplatnumz aliweza pia kumtembelea baba yake na mwanamuziki huyo na kushea nae mawili matatu angalia video hapa chini na tumewawekea vionjo vya nyimbo za msanii huyo machachari anaeishi Denmark usisahau kumfolow instagram na youtube kwa jina hili hili la GAMC WANYATU na kumwachia Comment .

https://www.youtube.com/watch?v=0leCZiasT3s

MSANII DIDA KAILO AJA NA NYIMBO MPYA PATA KUJUA HISTORIA YA MAISHa YAKE

Hii ndio Music Video mpya kabisa hakika si ya kukosa bonyeza kusikiliza hapa

Wengi mnamjua kama Dida kailo Mkenya anaeishi Ujerumani Kupitia filamu kadhaa alizoigiza Ujrumani lakini Mwanamuziki huyu si hodari tu tu wa kuigiza bali kuimba na hata kupiga Vyombo mbalimbali vya Muziki kitendo kilichowavutia si tu mashabiki zake waafrika bali kuwachanganya pia wazungu Nchini Ujerumani anakoishi na kuwafanya

kumtafuta ili waweze kujua mengi kuhusu sanaa yake na maisha yake kwa ujumla bonyeya link hapo juu na chini kuangalia interview yake aliofanyiwa na wajerumani lakini kusikiliza NGOMA YAKE MPYA YA PAIN Usisahau kusubscribe kwenye YOUTUBE CHANELI YAKE ILA waweza kumpata zaidi instagram kwa jina la DIDAKAILO

hII ndio Audio ya Wimbo wake wa PAIN HAKIKISHA UNASUCBRIBE LIKE NA KUSHEA

Subscribe youtube DEVOTHA MEDIA