Penzi la Ray na Chuchu hans sio kificho tena, Chuchu ammwagia sifa kedekede Ray, anamuita “babyface”,

 

Penzi la Ray na Chuchu hans sio kificho tena, Chuchu ammwagia sifa kedekede Ray, anamuita “babyface”,

two

                                                                    Ray na Chuchu Hans

  • Ray na Chuchu Hans
  • stuck
  • Ray na Chuchu Hans
  • Kiss

Penzi kati la waigizaji wawili maarufu ndani ya bongo movie, Vicent Kigosi – Ray na Mwanadada Chuchu Hans limekuwa sio siri tena baada ya hivi majuzi mwanadada Chuchu hans kuweka picha mbalimbali za Vicent kigosi na yeye kwenye mtandao mmoja wa kijamii huku akiandika “I love my babyface NO MATTER WHAT (TOO MUCH)” akimaanisha kuwa anampenda sana mwigizaji huyo  kwa hali yoyote ile na anampenda sana.

Penzi hilo limekuwa la utata baada ya kuleta mtafaruku hapo siku za awali baina ya waigizaji Johari na chuchu Hans kudaiwa kuzitwanga wakimgombania muigizaji huyo.

Hatupendi kuandika mengi sana, kama huwezi kusoma basi angalia hata picha

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies

CREDIT:BONGO MOVIE