PICHA: Safari ya mwisho ya marehemu Adam kuambiana ilivyokuwa leo viwanja vya leaders Dar es salaam

 

Shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu  nchini Tanzania , Marehemu Adam Kuambiana inaendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Marehemu kuambiana anatarajiwa kuzikwa leo hii kwenye Makaburi ya Kinondoni huko  jijini Dar Tanzania.

kuambiana 1 kuambiana 7 55 kuambiana 2 112 kuambiana 3 kuambiana 4 kuambiana 5 kuambiana 6 kuambiana 7 kuambiana 8 kuambiana 9 kuambiana 10 kuambiana 12 kuambiana 13 kuambiana 14 kuambiana 15

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :swahiliworld planet