V.a.d imeendelea na kazi zake kwa sasa tena v.a.d iko kwenye shooting ya movie mpya na wiki ilio pita wakati Tulikua kwenye pirika pirika za movie mpya Tumepigiwa simu na wengine ku tuma message kwenye facebook jumapili asubui wamekuta trailer imepotea. kwanza v.a.d imeshukuru wa tizamaji na wapenzi wake kutizama mda yoyote movie na trailer zao na kuwapa ujumbe wakati wanaona kunatatizo. bila shaka trailer iyo tutaiweka tena na mutaburudika tena V.A.D imewaandalia movie mpya mda si murefu utapaata vitu vipya na vya kisasa… Aliongea President Mr Safari Lukeka
ANGALIA PICHA ZA BEHIND THE SCENE NA MOVIE MPYA JINA KAPUNI KWA SASA
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more