Rapa mtanzania Geofrey McLaughlin ( G.A.Mc)anaeishiDenmark amesema kuwa kimya chake cha mda mrefu ni kuwa alikuwa busy sana, kwani alikuwa Tanzania akifanya network na wasanii wahuko kwa ajili ya nyimbo zake zijazo lakini ameongeza kuwa atafurahi sana akifanikiwa kufanya kolabo moja na Diamond platnum , akaongeza kuwa licha ya Diamond kuwa msanii mkubwa lakini ni mtu ambaye ni mbunifu na kuutangaza vizuri muziki wa Tanzania hivyo ndio sabaabu kubwa angependa kufanya kolabo nae ,
kwa sasa nimeshafanya nyimbo nyingi zinakuja ila leo nawaalika kuicheki ngoma yangu mpya inaitwa Iwanna be with you msishau ku subscribe kwenye youtube channel yangu hapo chini