Mashabiki wa diamond platnum wanajaribu kutegua kitendawili kwanini rickross amefuta picha zote alizowai kuposti za diamond platnumz, mwaka jana mwishoni baada za diamond kutangazwa kuwa ni balozi wa belaire , kinywaji ambacho rickross anahusika nacho , hiyo ni miongoni mwa picha ambayo rickross alipost
lakini mabalozi wengine wa east afrika kama hudah hajafuta , na kuwafanya mashabiki wa diamond kuchanganyikiwa kwani si picha tu bali hata video zooote waliyopiga pamoja amefuta wakati wamefanya wimbo pamoja ambao umefanya vizuri
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
https://www.youtube.com/watch?v=hcrxsgmBXnghttps