Actor sallai atoa wito mzito kwa waandaaji filamu holland soma hapa

10149592_727838303913727_167470747_oMuigizaji na muasisi wa kundi la salai majasiri holland

Leo nitaanza na wito wangu kwa ndugu zangu wanaofanya kazi za sanaa kwa kiswahili hapa Holland, kuna muungano tunaufanya hapa Holland ,kuja pamoja kuongea pamoja namna na mbinu tutakavyo weza kuweka utaratibu wa kuthaminisha kazi zetu ,kutengeneza namna ya kuandaa tuzo ,soko ,kuzijua na kuzilinda haki zetu , na mengine kibao ambayo tunaweza kushirikiana …

1009347_383790758392980_843103010_o

Kwa hiyo wote ambao wako tayari na wanadhani hili jambo litawahusu kwa namna yeyote ile wanakaribishwa sana. Tutaanza kukutana mwezi wa tano kwa tarehe tutakazo zitangaza… Kama wewe ni muakilishi wa kundi la maigizo ,ama muimbaji wale binafsi na wale wenye wako kwenye makundi wote wanakaribishwa .

Haimaanishi kufanya kundi moja ama kuazimana waigizaji au vyombo hapana kuja pamoja kama familia moja ya sanaa za wanaongea kiswahili hapa Holland ambao bado sote tukingali tunakua. Upinzani wa hali ya kukuza vipaji na kuleta maendeleo utabaki pale pale ! Salamu hizi zifike kwa ndugu zangu wa Umoja Stars, Ngg ,wabembe intertainment , Majasiri family, waimbaji na wana sanaa za wanao ongea kiswahili wote ..

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more