MSIKILIZE NA MTAZAME JUX AKIONGELEA SWALA LA MPENZI WAKE JACK CLIFF KUKAMATWA NA DAWA ZA KULEVYA CHINA.

jackjack4                                     jux na jackie cliff wakiwa kwenye pozi
Boyfriend wake Jackie ambae ni msanii wa bongofleva Jux ameongea kwenye Exclusive interview na millardayo.com Jan 13 2014. Baadhi ya maswali aliyoyajibu kwenye video hapa chini ni pamoja na Wameongea lini mara ya mwisho? Jack anasemaje? Jack alikua wapi wakati wanaongea? yuko nchi gani? anarudi lini bongo? na mengine….

11cb86427bfe11e3ade30e574d92f38f_8                                       jux na jackie cliff wakiwa kwenye pozi instagram
Hii ndo picha iliyo na ujumbe aliopost Jux mara baada ya kuongea na Jackie ambaye kwa maelezo yake hajui kinacho endelea.
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies
Habari kwa msaada wa  AYOTV