Sina Mpango Wowote Wa Kumuoa Chuchu Hans: Ray

raynew2Swali ambalo wengi watakuwa wakijiuliza kwasasa ni je Star wa filamu nchini Vicent Kigosi”Ray” anamchezea tu Chuchu Hans lakini hana mpango nae kimaisha !. Swali hilo pia linaweza kuibuka kichwani mwa Chuchu mwenyewe ambaye pia ni star aliyejijengea jina katika filamu Swahiliwood. Well, akizungumza na Globalpublishers Ray amesema kuwa hana mpango wa kuoana na Chuchu Hans hata kama akipewa talaka na aliyekuwa mumewe. “Sina mpango wa kuoa ndugu yangu, hayo ni maneno ya watu ambayo yapo tu mitaani ila kwa sasa niko njiani naenda gym baadaye nitakutafuta tuongee” alisema Ray ambaye filamu zake nyingi zinafanya vizuri sokoni.

Hata hivyo inawezekana Ray ameyasema hayo ili kuepuka kufuatwafutwa na mapaparazi katika penzi lake na Chuchu ambaye aliibuka Miss Talent katika Miss Tanzania 2005.

BONYEZA HAPA KUANGALIA SHOW YA KIJANJA INAYOKULETEA HABARI MBALIMBALI ZA MAISHA YA ULAYA

https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=K1BsICrQ6GU

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more