SIOGOPI KITAMBI NI MUONEKANO MPYA TUby Selembe Toko

Selembe toko msanii wa vad kwa kipindi kirefu amekuwa akionekana mwenye mwili nadhifu na mengine yakizushwa  kwa kila aina ya usemi …. lakini swahili movies, imeweza kujua lilio nyuma ya pazia , baada ya star huyo mwenye makeke mengi akiwa kwenye camera , kuingia gym na kuanza kupunguza mwili wake , 

1014126_672778276081455_565462401_n
Selembe toko  muonekano wake wa sasa

Hamna lolote  sio kama naogopa kitambi ila lililonifanya kuingia gym  nikutaka kuwa smart zaidi , maana wakati mwengine nashindwa kucheza baadhi ya sehemu au uhusika kwasababu ya mwili wangu au muonekano wangu, hivyo nimeamua kuingia gym ili mwaka mpya nije na kazi mpya na muonekano mpya kwa mashabiki wangu

 

1025719_675367985822484_61387705_oSelembe toko akiwa gym akifanya mazoezi

1048906_678369648855651_738215187_oSelembe toko akiwa gym akifanya mazoezi

SELEMBEselembe toko akiwa gym akifanya mazoezi

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies.