Leo tarehe 03 -03 ni ukumbusho wa siku ya kuzaliwa ya msanii wa V.A.D wa filamu nchini denmark Selembe Toko huu ndio ujumbe alioandika katika kusherehekea siku hii
Namshukuru Mungu kwakunifikisha siku ya leo shukrani zangu na mutoleya mamayangu mzazi. mbali kwa macho karibu moyoni. na tena nawa penda sana mashabiki wangu wote.