SONGA MEDIA GROUP Kampuni ya kiafrika ya Filamu iliyopo Marekani imesaini mkataba mnono wa kufanya kazi na kampuni kubwa za filamu zilizopo huko huko Marekani wa miaka mitano akiwa ameandika kwa furaha kiongozi wa kampuni hiyo alisema kuwa
Tunafuraha kuingia mkataba na kampuni kubwa ambazo ni A STRING OF WORDS SOCIAL MEDIA LLC and KING DENG PRODUCTIONS LLC , kuanzia sasa na kuendelea tutakuwa tukiafanya nao filamu , hii ni hatua kubwa sana kwetu na inatufanya leo tuwe na furaha . Na tunachukua muda huu Kumshukuru Mungu alietufikisha hapa , pia Mashabiki wa filamu zetu , wazazi wetu na tunaomba msahabiki waendelee kutusapoti . Alimalizia
swahili movies inawatakia mafanikio mema
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :here