songa media waja na filamu ya kupinga mauaji ya Albino cheki hapa

11745645_380969962109175_8673782951985006260_n

Hatimaye Kampunii ya filamu ya SONGA MEDIA GROUP inayofanya filamu zake nchini marekani kwa lugha ya kiingereza na kiswahili  wanakuja tena na fiilamu  mpya inayojulikana kwa DEADLY HUNT  .

Director wa kampuni hiyo siam J Manuel akiiongea alisema filamu hii itakuwa tofauti sana kwani ni filamu  inayozungumzia mauaji ya albino yaliokisili Africa hasa nchini Tanzania  na kuwataka mashabiki wajiandae kujifunza lakini pia wajitaidi kuisambaza kusudi watu wengi  waweze kuungana nao kupiga vita mauaji haya ya albino kwa mila potofu za kupata utajiri, pia  wamejaa wakali wako waliocheza MURMUR  na PAID N FULL Wameshiriki katika filamu hiyo.

Izi ni baadhi ya picha ya behind the scene full movie coming soon

11665503_927192713993915_6430394830706545653_n 10246688_923918197654700_5513254358422056504_n 10413326_923919020987951_5108856578780596473_n 11028026_939103869469466_3881568044985097080_n 11046225_971587986209240_5011349331138909903_o 11219112_944631358916717_2611090265416495300_n 11224352_970825539618818_4151962622956778671_o 11202883_944631315583388_3005357377465215957_n 11811416_944631585583361_8917423227107586053_n 11813314_944631502250036_6393045154468256543_n 11816989_944631682250018_1924535899319421631_n 11817120_944631448916708_9187419859728678805_n 11825026_944631392250047_5584177264251232907_n 11825081_944631532250033_4876505267803258541_n 11825114_945222072190979_1974725263343931524_n 11831725_944631412250045_6565515612802486195_n 10685333_348111885394983_1435026373163802153_n

SOURCE  :here

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!