Swahili talk radio yaanzisha huduma mpya ya bure bonyeza hapa

Huduma mpya ya Swahili Talk Radio, wasikilizaji wetu Kuanzia Leo mwenyewe unaweza kutuma salam zako kwenye Radio. yaani wenyewe unaweza kua hewani na kujiwakilisha kwa watu unaopenda hivyo natoa wito kwa wasanii , waigizaji, waimbaji, muziki au injili. watoa mada mbalimbalia , kama una kipindi chochote na ungependa kirushwe hewani , basi usisite tupigie kwa namba hio apo chini basi utapata muda na utajitangaza vya kutosha, kuwakumbuka,unacho takiwa kufanya ni kupiga simu hii

+45 91460332 wakati ambao niko hewani  utapata nafasi ya kutuma ujumbe wako. kumbuka ni namba ya lyca . karibuni sana katika huduma yetu mpya Swahili Talk Radio.
Aliongea mtangazaji wa radio hiyo Rehema Nkalami

bonyeza link hapo chini ili uweze  kusikiliza interview za wasanii na mambo mbalimbali , lakini pia kuweza kutuma salamu na kuuliza maswali mbalimbali na kuchangamia  mada mawasiliano- radio@africanworkhouse.dk

http://www.swahilitalkradio.listen2myradio.com/

1795597_259583897535129_1050595592_n

401299_168329066660613_904520870_n

Mtangazaji Rehema Amir Nkalami akiwa studio ya swahili talk radio denmark