lICHA YA HARUSI KUBWA NA YA GHARAMA KATI YA DADA WA MSANII DIAMOND PLATNUMZ NA TAJILI MSIZWA ILIKUWA INASEMAKANA KUWA NDOA HIYO AMBAYO HAIJADUMU HADA MIEZI MINNE IMEVUNJIKA NA CHANZO KIKIDAI NI ESMA KUTOA MIMBA YA MUMEWAKE HUYO MSIZWA SASA ESMA NA MSIZWA WAMEJIBU HAYA SIKILIZA HAPO CHINI KWENYE VIDEO