Chozi Langu ni filamu ya kiSwahili inayowahusu marafiki wawili vijana Devotha Alfred na Blandine. Baada ya Frank Lubeba na Blandine kuoana na kuwa na ndoa ya furaha , lakini maisha yake (Devotha) inakuwa na wivu Baada ya kusikia rafiki yake waliopoteana kwamda mrefu ameolewa , ndipo anapozamilia kutumia kila njia kuvunja ndoa hiyo na kummiliki mume wa rafiki yake je Devotha atafanikiwa na je atatumia njia gani fuatilia trela uone zaidi.
Antoinnete
CHOZI LANGU c’est un film en Shwahili de deux jeunes amies Devotha Alfred Afred et Blandine . Un jour Devolta marie Frank Lubeba et heureuse dans son couple, mais sa vie (Devotha ) devient basculée quand son amie Blandine se sens terriblement perdue par la jalousie et elle commence à harceler Frank avec tous les moyens possible.
Actors: Frank Lubeba , Blandine Wakengo ,Devotha Alfred,Alex Bikorimana
Bethlehem Zelalem, Gaby Kihota, King Gen, Sandrine Prince,Antoinette Rossi, adelaya, Solange, Remmy ..Etc
Réalisé par Director- Ally Lulenda.
Alex
Beth and King Gen
Solange and Blandine
Gaby
Bonyeza hapo chini kuangalia Trela ya filamu hiyo iliyofanika nchini Holland chini ya kampuni mbili ya TAO ya Denmark na NGG filmProduction ya Holland
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!