kwa mda mrefu mashabiki wa Vad Film Production walikuwa wakisubiria sehemu ya pili ya tamthilia hiyo bonyeza hapo chini kuweza kuangalia sehemu hii ya pili iliojaa visa vituko na kila aina ya taflani Chini ya Director JAY na cameraman Ally Dex Lulenda, pia unaweza kutoa maoni yako na pongezi kupitia facebook page yao a VAD Film Production.
https://www.youtube.com/watch?v=kyCnCAU2nJE&feature=share
kama hukuona sehemu ya kwanza basi fatilia kupitia hapa chini
SOURCE : here
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more