Tazama picha za Muigizaji anaeongoza kwa kupigilia pamba swahili movies Europe:Blandina Wakengo

Huyu ndio muigizaji anaeongoza kwa kupigilia pamba katika swahili movies europe na kauli hii imetolewa na baadhi ya mashabiki wake ambao wameshindwa kuvumilia na kuamua kumpa pongezi mwanadada huyu mrembo ,naimai kila atakayeona hizi baadhi ya picha zake atakubaliana na mashabiki wa mwanadada huyu,

988334_654930064537752_587697552_n
Balndine wakengo

Blandine wakengo ni Muigizaji mwenye asili ya Kongo ambaye anaishi nchini Holland , ni muigizaji katika kampuni ya NGG fILM Production kwa wapenzi wa europe swahili movies hili jina sio geni kwao kutokana na filamu ambazo amecheza , kama TATIZO MKE WA KAKA; UMZANIAE NDIO KUMBE SIYO ,

MWANZO WA MWISHO NA WHY FACEBOOK Ambazo zote hizo amecheza kama kinara wa filamu hizo zinazopatikana youtube  na kinachomuongezea mvuto ni umahiri wake wa kuongea kiswahili fasaha kwenye filamu zake licha ya kuwa yeye ni mkongo  Angalia baadhi ya picha zake na trailer ya filamu yao mpya ya WHY FACEBOOK.

1003598_750935164937241_1529969564_n
actress blandine wakengo
10636264_845672992130124_8749773480200414670_n
Blandine wakengo kwenye african clothes
1017750_770176829679741_5313232783820058297_n
Blandine wakengo kwenye umagharibi

1186989_646097372087688_827576501_n 1376597_666990226665069_589064161_n 1484213_702518433112248_1225493554_n 1512391_770165223014235_6278296590132444598_n 1653568_737973862900038_1936946628_n 10577098_827972950566795_6626112869499659479_n

10636264_845672992130124_8749773480200414670_n 10177421_750927374938020_1539861512_n

Hii ni moja ya filamu aliocheza Mrembo huyu BLANDINE WAKENGO

10308739_719459008095463_3298232298330293328_n

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!