Kutana na mwanamziki wa kizazi kipya kijana mtanashati , aliyebobea kwenye music lakini pia ni film director na THE BLACK ndio jina analotumia kama A.K.A jina lake halisi ni Asende Fumbele
musician Asende fumbele a.ka. the black
Nimedirect movie mbili Msahau kwao na ya pili Tatizo mke wa kaka zote ambazo trela zote zinapatikana you tube, Nimefanya nyimbo tano ila hii ndio nimetoa mziki nyingi nimeshirisha watu wengine ila hii tu ndio nimefanya mwenyewe. asende fumbele , mkongo, Holland HUU MWEZI ZITATOKA nyimbo zangu nyingine mbili. na hii ntaifanyia remix
KITU GANI KIMEKUFANYA KUINGIA KWENYE MZIKI:
marafiki zangu waliniambia naweza kuimba na nilipoenda studio producer alikubali sana ngoma yangu ya kwanza
musician Asende fumbele a.ka. the black
Naomba watu waniunge mkono ili niweze kusonga mbele kwenye kusambaza kazi yangu maana mimi naweza kusambaza hapa holand tu kama kuna distibutor basi naomba tuwasiliane kupitia blog hii. nampenda producer wangu anaenifanyia mziki sababu amefanya kazi nzuri sana
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies