TUJIKUMBUSHE JE NIVA KUPEWA TUZO YA MSANII CHIPUKIZI NI SAHIHI? CHEKI HAPA

1053293_387896054649117_783788579_oNiva Zuberi akiwa na msanii mwenzake kajala masanja

Hebu jikumbushe wadau , Mwaka jana STEPS ILITOA TUZO ZA WAIGIZAJI BORA TANZANIA ; LAKINI TUZO HIZO NI KWA WASANII WA STEPS TU  ina maana ni kwa  wasanii wanaouza kazi zao step entertainment  na katika Tuzo hizo watu mbalimbali walijinyakulia tuzo mbalimbali kama Tuzo ya Muigizaji Bora wa kike ilienda kwa Irene Uwoya  na Tuzo ya Muigizaji bora wa kiume ikienda kwa  Bonge la Bwana au JB

ANGALIA DEMO YA JUMBA LA DHAHABU HAPA

https://www.youtube.com/watch?v=O61ANRms2wE

tuzo bora ya msanii wa kike Chipukizi ilenda kwa Irene Paul  na KITUKO kilikuja pale Tuzo ya Muigizaji bora chipukizi wa kiume alipopewa NIVA , MMMH hapa ndipo kila mtu alishindwa kuelewa kwani NIVA kila mtu anamfahamu kutokana na kazi zake nzuri na nyingi alizofanya toka mda mrefu na kazi kubwa iliyomtambulisha Niva katika sanaa ni tamthilia ya JUMBA LA DHAHABU  tamthilia ambayo ilijipatia umaarufu mkubwa katika historia ya tamthilia TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA ikiwa Niva PIA NI MUIGIZAJI ALIYOITENDEA HAKI TAMTHILIA HIYO PAMOJA NA KAZI ZAKE NYINGI sasa swali lilibaki kwa watu je ni sawa kumopa tuzo ya msanii chipukizi NIVA lakini NIVA kutokana na furaha ikawa kama hakuona kitendo cha kuitwa chipukizi je wewe mdau unaonaje kitendo hicho cha msanii mkongwe kupewa tuzo ya uchipukizi TOA MAONI YAKO CHINI

1009347_383790758392980_843103010_otuzo za steps

1009380_383787291726660_170944081_oNiva akiwa na tuzo yake

1015604_383788691726520_196675631_oMzee king Majuto , Niva na Mzee chilo

944518_392918597480196_190745680_nbaadhi ya film alizofanya Niva na riyama Ally

 1922517_484144778357577_1316855128_n Niva na Elizabeth chijumba au Nikita

ANGALIA TUZO ZOTE ZA BONGO MOVIES HAPA CHINI

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more