Ustadhi Juma kuweka hizi picha za Pnc online unakichukuliaje kitendo hiki

Eti jamani hivi hicho kitendo cha huyu jamaa kuweka picha kwenye mitandao ya kijamii akiombwa msamaha na PNC mnakichukulie? Ni uungwana? Je, Wasanii ndio wanatakiwa kuwa hivi?

1622836_814001798614314_914692368_n

                                           Ustadh Juma na  PNC Akiwa amepiga Magoti

1656022_667441649968062_603739167_n(1)Ustadh Juma na  PNC Akiwa amepiga Magoti

Credit: BONGO MOVIES.COM

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more