Msanii matata The Black aka Brah baada ya kuachia Teaser ya wimbo wake mpya sasa ameiachia nyimbo hiyo ambayo kwa mda Mrefu ilikuwa ikisubiriwa na msahabiki wake Nyimbo hii yenye mahadhi ya R &B .Angalia picha za utengenezaji wa Video hii ya hali ya juu then ucheki chini kwa mara ya kwanza video kamili.
kuangalia Nyimbo hio mpya ya The Black Angalia hapa
https://www.youtube.com/watch?v=eLJmuRnpgiQ&feature=youtu.be
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!