UZINDUZI WA FILAMU DENMARK WABAMBA ,CHEKI LUCYKOMBA, CLOUDS 112 ,SAFI ,SELEMBETOKO NA MFALME WA KOMEDI MWALUBADU WALIVYONOGESHA.


Siku Chache zilizopita kulikuwa na uzinduzi wa filamu mbili kutoka VAD FILM PRODUCTION ya QUEENUSIJISAHAU na mambo yalikuwa moto kwakweli kwani watu walifurika KUSHUHUDIA FILAMU HIZO ,

PAMOJA NA MASTAA WALIOPAMBA FILAMU HIZO AMBAPO WALIKUWA MASTAA WENGI KAMA LUCY KOMBA , CLAUD 112 na mkewe MINA, CLAURICE SAFI,

SELEMBETOKO ,GMC MNYATU,SENNYCHADA , KING WA COMEDY MWALUBADU , BLACK, BIG JJ na wengine wengi wengi sasa leo tumekuletea picha za red carpet.
















xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
kwa wapenzi wa kuangalia maisha ya ughaibuni na mambo mengi tembelea chaneli zetu hapa chini