THE TRUTH WILL ALWAYS COME OUT is a short film by V.A.D film Productions , iliyopo Denmark In association with Majasiri Productions iliyoko Holand wamekuletea filamu fupi kali inayomuongelea mchungaji fake …….. na wahusika katika filamu hiyo ni Sallai Fatakid ,Kay Msabaha ,Selembe Toko , Rosette Sallai , Gilbert Fataki -,Anniepetra Sijtsma ,Richard Muyale, na Director Jay Msabaha hii ni kazi nzuri iliyotolewa mapema mwanzoni mwaka huu wa 2014 na kuonyesha kuwa mwaka huu washabiki wajiandae kupata kazi nyingi nzuri kutoka kampuni hizi zinazofanya vizuri nchini ulaya , america na africa kwa ujumla angalia picha za behind the scene za upigaji wa filamu hiyo ni chini upate filamu hiyoRichard Muyale kushoto sallai majasiri Director Jay Msabaha na msaanii machachari selembe toko kulia
Anniepetra Sijtsma kushoto , selembe toko fake pastor na kay msabaha behind the scene
Sallai Fatakid Mchungaji akimuombea mtu mwenye pepo Gilbert Fatakid on action
selembe toko on setAnniepetra Sijtsma
Salai fatakid na Rosette Sallai wakiwa kwenye scene ya maombi
https://www.youtube.com/watch?v=Fkfv1fUiglc#t=270
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies