Ama kwa hakika voice of Africa in Denmark ama V.A.D film production kumekucha na hakuna kulala kwani baada ya siku mbili zilizopita waliingiza filamu mbili sokoni ambazo zimeanza kufanya vizuri sokoni
Selembe Toko na Tatu Daniel behind the scene
Nasasa wametoa teaser ya filamu yao mpya ambayo walifanya na Mr Nice, NIMUAMININANI filamu iliyojaa , Visa vya Usaliti, Mapenzi, Muziki, Wivu Misukosuko na Chuki , Nimuamini Nani imesheheni mastaa kibao wenye uwezo wa hali juu kama Mwanamziki Mkongwe na machachari MR NICE kutoka Tanzania, SANURA JAFARI , TATU DANIEL, SELEMBE TOKO, VUMI VANE, CLAURENCE SAFI, SOLANGE DAVID, JUSTINE ZAWADI , DEVOTHA ALFRED na wengine kibao ,
TAZAMA PICHA ZA BEHIND THE SCENE NA TRAILER YA FILAMU HIYO CHINI
Claurice Safi na Justine Zawadi behind the scene NIMUAMINI NANI
Actor Selembe toko na Mr nice
BONYEZA LINK HAPO CHINI KUANGALIA TRAILER YA MOVIE YA NIMUAMINI NANI
https://www.youtube.com/watch?v=yeSeZBfEOq0
HIZI NI ANUANI ZA KUWEZA KUNUNUA MOVIE ZAO MBILI ZILIZOTOKA HIVI KARIBUNI; TANZANIA TO DENMARK AND MISTREATED GIRL
facebook: vad production au wasiliana nasi kwenda e-mail: vad.production@hotmail.dk
au piga telephone: +4571353932 ao +4571621012
au kununua online http://www.vadfilmproduction.dk/side.asp?Id=120318