Tumekuwa Kimya kwa mda Mrefu lakini kampuni yenu ya V.a.d film production ina kuletea Movie yake mpya kabisa kwa jina la SORRY MY WIFE. Movie imejaa uchungu na machozi.
• SORRY MY WIFE ni movie ilio wakutanisha wasani kutoka sehemu mbali mbali kama Denmark, Tanzania na Holland.
• SORRY MY WIFE utakumbana na wasani kama: Kevin Blackman, Lucy Komba, Selembe Toko, Sallai Fatakid, Ritta Zongwe, Elianer Emanule, Vumi V Vane, Safi Claurice, Tatu Daniel, Justin Zawadi na wengine kibao…..
• Ndani ya SORRY MY WIFE nivituko gani iliwapata.Jiunge na nasi na ukae mkao wakula…. V.A.D ni kwa jili yako.
• Trailer ya MOVIE IYO INAKUJA SIKU SIO MUREFU. Ni wengi wana jiuliza V.A.D FILM PRODUCTION imepotea sisi tuko na kazi ni nyingi tuna wa penda wote watupendao. Alimalizia kuandika President wa Voice of Africa in Denmark Film Production.
Angalia Picha za Behind The scene.
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!