V.A.D Danmark imekuletea Tamthilia mpya MAWENGE, iliochezwa na wasanii machachali kama Selembe Toko, Tatu Daniel, Safi Happy na wengineo wengi fatilia sehemu ya kwanza ya tamthilia hii ya MAWENGE ; Chini ya Director JAY MSABAHA NA Editor ALY DEX LULINDA
bonyeza hapa kuangalia Tamthia kamili
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT : Here