Wasanii wa kundi la Voice Of Africa In Denmark(VAD) ambao wanajishughulisha na sanaa ikiwemo kutengeneza filamu kwa kiswahili nchini Denmark wamepata masahibu ya kuibiwa moja ya camera zao muhimu. Tukio hilo limetokea baada ya
tulikua na toka kushuti na Jay ambaye ni Cameraman alikuwa na harakati za kuhama pale anapoishi kuamia mji mwingine .Tulipo maliza kucheza weekend siku 3 tuka rudi manyumbani na baadhi ya wasanii wakabaki kumsaidia Jay kuamisha vitu vyake juma3 wakaenda nao nyumbani Jay akawa tu bado ameshughulika na mambo ya kuahma basi kupitia iyo mpaka baada ya siku 5 tuka alikwa kusherehe ya Mmoja wa Viongoui wa VAD Chagu, Chagu akahitaji Camera ichukue sherehe Jay alipoanza tafuta Camera haikuonekana kwaiyo tunaona inawezekana kuna mtu alichukua wakati akiwa mupirika pirika za kuhama adi sasa wiki moja tuna tafuta atupati Wote tume wauliza hadi tuna peleka ripoti polisii wote wana kataaa..
. Kwa mujibu wa mmoja wa viongozi wa VAD mwizi huyo atawatia hasara kwakuwa katika camera kulikuwa na memory yenye vipande vya filamu yao mpya hivyo halikuwa tukio la kiungwana hata kidogo.
Mmoja wa viongozi wa VAD akizungumza na SWP amesema kuwa tayari wameripoti tukio hilo polisi na uchunguzi unaendelea lakini pia watatoa zawadi nono kwa mtu yeyote atakayewapa taarifa au tetesi za kamera hiyo ilipo. Kwa hiyo kama unajua ilipowasiliana na VAD
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT ;Swahiliworldplanet