WAKALI wa filamu na Tamthilia ulaya VAD FILM PRODUCTION WENYE MAKAZI YAO NCHINI DENMARK WAJA NA FILAMU MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA MWASITU CHINI YA DIRECTOR JAY MSABAHA
MWASITU IMEJAA SIO TU MASTAA WAIGIZAJI WABOBEZI BALI PIA KUNA SURA MPYA WAIGIZAJI HAO KWA UJUMLA NI KAMA SELEMBE TOKKO, CLARICE SAFI, KAY MSABAHA ,SAFARI LUKEKA ,RIZOBABINGWA, Mufalme Flo na wengine wengihttps://www.youtube.com/watch?v=g_zulFVccAs