Muigizaji wa V.A.D film production Vumi vane anayefanya vizuri katika filamu za european swahili Movies kama filamu yake mpya ya NIMWAMINI NANI . Amechoshwa na maneno ya watu wanaomsema vibaya tena maneno ambayo sio ya ukweli juu yake, hali hiyo imemchosha Vumi na kuamua kuandika hayo hapo chini katika mtandao wa kijamii
Vumi Vane akiwa kwenye pozi
Nimeisha pima kuonesha roho muzuri kwa watu, lakini kwa hapo sasa imezidi, nachoka na maneno ya watu. Hakuna mtu mwenye ananijuwa zaidi ya Mungu. Namlilia Mungu kila siku awaonyeshe hata ukweli yangu mundoto yenu,
haiwezekana. Na jua kuna siku Mungu ata waoneshaka tu ukweli yangu na mtanitafutaka. Mina juwa kuchukiwa ni sababu ya Mungu kukupenda. Kwa hiyo muendelea nawapa siku. Alimalizia
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT : Here