WAANDISHI WA HABARI WAJERUHIWA NA RISASI CONGO

Waandishi habari watatu wajeruhiwa na risasi huko Beni Kivu kaskazini baada ya kushambuliwa na waasi wa ADF katika mbuga za wanyapori ya Virunga na mmoja wao kufariki leo. Waandishi hao kuna Mitara  Hangi Redio Muungano Oicha ,Subiri Patient  wa Redio Semuliki Beni na Kenedy wakiwa waandishi wa habari wa OICHA.hali yao si hatari sana ila mmoja aliye pata majeraha kichwani Kenedy yuko katika hali mbaya.

1888840_10152223709404605_2002185268_oWanajeshi wa DRC wakiwa katika kambi ya waasi wa ADF karibu na muto Semuliki

kenedy mwana habari wa huko Beni baada ya kujeruhiwa na kupata majeraha jana leo asubui amefariki risasi karibu na mto semuliki katika mbuga la wanya pori la Virunga ambako waasi wa ADF walishambulia gari lao

1909142_10152223681969605_328122053_owaandishi wa habari waliojeruhiwa kivu Congo

 

1015389_10152223672414605_99707608_owaandishi wa habari waliojeruhiwa kivu Congo

Swahili movies inatoa ombi kwa watu wote ulimwenguni kuiombea nchi hii ya CONGO na nchi zote ambazo zina vita kwani ni miaka mingi sasa vita vya CONGO havijatulia na watu wengi wasio na hatia ikiwa watoto na wakubwa wanakufa bila hatia .MUNGU ipe amani CONGO ,

CREDIT :VOA

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies