Waigizaji ashley Toto na Senny Chada watembelea ofisi za Marehemu Steven Kanumba Tanzania.

Waigizaji wenye makazi yao ulaya ambao wamekutana tanzania  ambako ashley Toto mkenya alikwenda kwenye ziara  yake  ya kutangaza kazi zao mpya za Devotha Media zinazokuja  na Sanura Jafari aliepo huko kwa  ajili ya mapumziko  na kusalimia familia yake , baada ya kukutana wote waliamua kutembelea ofisi hizo zilipozo sinza.kuonyesha heshima yao na kutambua mchango wa Marehemu steven Kanumba katika tasnia ya filamu Tanzania hasa leo ikiwa ni siku ambayo  kitabu cha Marehemu  kanumba kinazinduliwa  Land mark Hotel Ubungo .

10917779_771365412952576_2418724171458259030_o
Ashley Toto

 

10904438_771365609619223_6257836415271136433_o
Sanura Jafari

 

10915046_771365376285913_2948593347501597366_o
sanura na ashley Toto

kwa walio DAR wanakaribishwa  kufika katika uzinduzi wa ktabu cha kaunumba ambacho  ni leo jioni  kwa maelezo zaidi angalia picha hapo chini.

10904401_958511490845360_5623410393598501313_o

hii ndio Tamthilia  ambayo kwa sasa ashley  Toto anaifanya

https://www.youtube.com/watch?v=vaDxb11G_lo

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!