Katika hali za kushangaza wasanii wakike wanne wa v.a.d Denmark. Devotha Alfred, Tatu Daniel , Vumi Vane na Solange Machozi wajikuta wakishare mapenzi na msanii mkubwa wa music alietokea Tanzania Mr nice
Katika mda mchache wa wiki moja Mr nice alifanikiwa kutembea kimapenzi na mabinti hao wanne , ambao mmoja ni mke wa mtu , pasipo wenyewe kujua
Vumi vaneSolange David
kitimutimu kilianza pale mabinti hao walipopiga namba yake na kumkosa na kuvamia nyumba ya rafiki yake .
Vumi vane na Mr nice on set
Hicho ndio kipande kidogo alichokicheza Mr nice akiwa nchini denmark na wasanii wa Voice of Africa in Denmark v.a.d zifuatazo ni behind the scene za upigaji wa movie hiyo. hivyo washabiki mkae mkao wa kula kupata movie kamili .
V.a.d Manager Rizo Babingwa na Mr nice wakiteta jambo
Mr nice akifanya interview na Rehema Amiry Nkalami wa Swahili Talk radio Denmark
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook swahili movies .com