Tunatafuta wasichana wakitanzania kuweza kushiriki Mashindano ya kutafuta Mrembo wa Africa Mashariki yatakayofanyika Paris, Ufaransa 31st May 2014 ,yatakayojumuisha wasichana wote kutoka nchi za Afrika Mashariki kwa atakayependa kushiriki kutafuta MISS EAST AFRICA tafadhali wasiliana na sisi mapema kwa anuani hapo chini.
https://www.facebook.com/events/369640319842269/381900648616236/?notif_t=like
PICHA MBALIMBALI ZIKIONYESHA MASHINDANO YALIYOPITA IKIWA NA MSHINDI KUZAWADIWA ZAWADI NONO
PIA UNAWEZA KUWASILIANA NA SISI KWA LINK YA FACEBOOK HAPO CHINI ASANTE: au mtafute huyu facebook – Kif Faransa
https://www.facebook.com/events/369640319842269/?source=1
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more